mwaka 1961

Dhamira ya Hospitali ni kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wakazi wa eneo Hilo, na kuhimiza upatikanaji wa uangalizi maalumu kwa ujumla kwa watu wenye mahitaji Maalumu hasa kwa watoto, wanawake na watu wenye magonjwa sugu.