Hospitali ya Consolata Ikonda imekuwa ikisimamiwa na wamisionari wa Consolata (Usharika wa Turino wa Italia) tangu 1963. Wamisionari walifika katika eneo hili kubwa ili kuleta faraja kwa wakazi ambao hawakuwa na uwezekano wa kupata huduma za afya. Kwa hiyo, tangu awali hospitali ya Consolata iliyopo Ikonda imejidhihirisha kuwa ni hospitali ya hisani, ikimpa kila mtu fursa ya kutibiwa.

Call Now Button